Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
👌👌HUTIBU KANSA
Ingawa bado haijathibitishwa kisayansi ni jinsi gani asali yenye mdalasini inatibu kansa lakini uwezo wake wa kuondoa sumu na vimelea vingine vya magonjwa (free radicals) kunaifanya kuwa na sifa hiyo ya kutibu kansa.
Safi sana!HUONGEZA AKILI
Watu wengi wanaripoti kuwa asali yenye mdalasini inawaongezea uwezo wao wa kukumbuka vitu. Asali yenye mdalasini hongeza uwezo wa ubungo kufanya kazi na kuongeza uwezo wa kumbukumbu.
HUSAIDIA KUOTESHA NYWELE
Changanya kijiko kidogo kimoja cha asali ndani ya ujazo sawa wa mafuta ya zeituni na uongeze kijiko kidogo cha chai tena cha mdalasini ya unga kwenye huo mchanganyiko.
👌👍Pakaa mchanganyiko huo kichwani sehemu ambako nywele zimeanza kupotea na uache kwa dakika 15 kisha jisafishe na maji ya uvuguvugu na shampoo ya asili.
Nzurii😊HUTIBU UANITHI NA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
Jaribu na uone tofauti! Changanya vijiko vikubwa vitatu vya asali yenye mdalasini ndani ya glasi moja ya maji ya uvuguvugu na uache mchanganyiko huo kwa dakika 15 hivi.
Naam.. Viagra ya asili ni bora kuliko ya kemikali😊HUTIBU UGUMBA
Asali inaaminika kuamsha hamu ya mapenzi. Wapenzi wa jinsia zote wanashauriwa kunywa walau vijiko viwili vya chakula kila siku kabla ya kwenda kulala kila siku.
AiseeMiji yenye gharama zaidi ya kuishi kwa Afrika;
1. Addis Ababa, Ethiopia
2. Abidjan, Ivory Coast
3. Harare, Zimbabwe
4. Johannesburg, South Africa
5. Pretoria, South Africa
6. Gaborone, Botswana
7. Capetown, South Africa
8. Accra, Ghana
9. Marrakesh, Morocco
10. Windhoek, Namibia
Duuh!Jua linatoa cheche ambazo muda mwingine huwa zinafika karibu na anga la dunia. Mara ya mwisho cheche ya jua kukaribia duniani ilikuwa tarehe 3 Septemba 2012 ambapo iliikosa duniani kwa karibu sana.
👌😊Tafiti: Unaweza kutambua kiasi gani unapendwa kupitia "Mabusu" (kisses) mnazopeana na mwenza wako. Uwepo wa "kisses" za kutosha ni moja ya ishara ya upendo mkubwa pamoja na uhusiano wenye furaha.
AmenMungu atupe siku njema 🤲