Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
👌👌Taja kampuni au biashara yoyote iliyofanikiwa unayoijua lazima utakuta nyuma yake kuna mpango mzuri ambao unaisaidia menejimenti kutekekeleza maono ya mwenye kampuni bila shida.
😂😂Ilinibidi kupitiliza kituo baada ya kuhisiwa mwizi
Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache. Nikiwa hatua chache kufika sehemu nayotakiwa kushuka kabla sijamwambia dereva anishushe mara namuona mdada anahangaika akisakua...www.jamiiforums.com