antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
👍Wanatazama na kusikiliza vitu vingi vya kuelimisha
Watu wanaofahamu mambo mengi wanatazama na kusikiliza vitu vyenye kuelimisha. Ni rahisi kumkuta mtu wa kawaida akitazama mziki au maigizo siku nzima; lakini watu wanaofahamu mambo mengi hawafanyi hivyo.