Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuwa bora licha ya mateso yako.

Maisha ni mateso, huu ni msingi wa dini na falsafa zote. Usisubiri mpaka mateso na changamoto zako ziishe ndiyo uwe mtu bora, havitaisha, kama huteseki wewe basi ni mtu wako wa karibu. Hivyo chagua kuwa bora kila siku, hata kama unapitia magumu kiasi gani
 
Yafuatayo ni mambo 40 muhimu kuzingatia kwenye maisha

Sema ukweli.

Nafikiri hili halina haja ya maelezo marefu, sema ukweli mara zote, usidanganye hata kama ni kitu kidogo kiasi gani, sema kweli na kweli itakuweka huru. Ukweli ni rahisi kukumbuka na ukweli utakuweka sehemu salama mara zote.
Sawasawa
 
IMG_9727.jpg

Huyu ni dada yake Freeman Mbowe, anayeishi marekani miaka yote!
 
Hizi ndio faida 10 za kuota jua kiafya.

Kuua bakteria
Jua linaweza kutumiwa kuua bakteria mbalimbali katika majeraha na ngozi. Tiba hii iligunduliwa na mshindi wa tuzo ya Nobel Niels Finsen. Tiba hii ilitumiwa kuponya vidonda vya wanajeshi wa Kijerumani baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia.
 
Huondoa msongo wa mawazo
Inakadiriwa mtu anapokuwa kwenye jua hupata takriban kiasi cha kemikali ya lux kipatacho 100,000. Hivyo kukosa jua kunasababisha tatizo linalofahamika kama vile Seasonal Affective Disorder (SAD) ambayo ni aina fulani ya msongo.
 
SAD hutokea mara nyingi kwa watu wengi kipindi cha masika au kwa wale wanaokaa ofisini muda mrefu. Hivyo kuoata jua kutakuongezea kemikali ya lux na kukuepusha na tatizo la Seasonal Affective Disorder (SAD)
 
Back
Top Bottom