Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawasawaYafuatayo ni mambo 40 muhimu kuzingatia kwenye maisha
Sema ukweli.
Nafikiri hili halina haja ya maelezo marefu, sema ukweli mara zote, usidanganye hata kama ni kitu kidogo kiasi gani, sema kweli na kweli itakuweka huru. Ukweli ni rahisi kukumbuka na ukweli utakuweka sehemu salama mara zote.
Kweli..Kuwa sahihi kwenye maongezi yako.
Sema kile unachotaka kusema kwa usahihi na kueleweka, bila ya kuficha kitu au kuona aibu
Mungu atupe siku njema [emoji2969]
Sawasawa...
Mungu atupe siku njema [emoji2969]