Akihojiwa na vyombo vya habari Raisi wa Ukraine Zelensnky amesema malengo la sasa kivita kwa Ukraine ni kwanza kuzuia majeshi ya Urusi kusonga mbele ndani ya Ukraine na la pili ni kuyarudisha maeneo ya ndani ya Ukraine yanayoshikiliwa na Urusi na Tatu kukomboa maeneo yote ambayo Urusi...