Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwaka 1945, Arthur Clarkson ambae alikua ni mwandishi wa hadithi za kufikirika akibobea zaidi upande wa sayansi (Science Fiction) alitoa wazo kwamba kuna uwezekano wa kuiweka satelaiti kwenye njia ya sayari (Orbit) ambayo itakua na uwezo wa kwenda kwa kasi na uelekeo sawa na sayari ya Dunia.
 
Wanasayansi hawakumuelewa mpaka October 04,1957 satelaiti ya kwanza ilipofanikiwa kurushwa na kuzunguka kwa wiki 03 na baadae kufa kutokana na betri zake kuisha nguvu!
 
SANAA KUBWA YA UUMBAJI WA MUNGU KWA BINADAMU : zijue faida mbali mbali za vitu vilivyo kwenye mwili wako ulizokuwa huzijui
 
Ulishawahi kukaa ukaifikiria dunia? Ukafikiria Uwepo wa Mungu na ukubwa wake... Au ulisha wahi kufikiria Binadamu.... Achana na mwanzo wa kuanzwa kwake kuishi tumboni na Hadi anapotoka
 
Ulishawahi kufikiria umbo la binadamu na kila kiungo kilichopo katika mwili wake?? Yaani ulishawahi kujiuliza kwanin Mungu ametuwekea kucha kwenye mikono na miguu yetu?? Huenda ukaniambia labda kucha za mikono zinatusaidia kurarulia vitu ...je vipi kucha za miguu??
 
Ulishawahi kujiuliza kwanin Mungu ametupa nyusi hapa juu ya jicho zinafaida gani?? Ulishawahi kujiuliza kwanin Mungu ametupa nywele tupo nazo kichwani, makwapani na sehemu za siri.. Zinafaida gani ??
 
Back
Top Bottom