Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

George Aldrich amefanya kazi NASA kwa takribani miaka 40, kazi yake kuu ni kunusa vitu vyote ambavyo inatakiwa kwenda kwenye anga za juu (space).
 
China: The Three Gorges Dam' ndio kitu kizito zaidi kuwahi kutengenezwa na binadamu. Lina hifadhi Lita za maji trilioni 39, wanasayansi wanasema uzito wake umesababisha kupunguza mzunguko wa Dunia (rotation) na kuongeza urefu wa siku kwa 0.06 microseconds.
 
Kuna watu hisia zao hubadilika kutokana na msimu, mfano msimu wa kiangazi huwa na furaha zaidi tofauti na msimu wa mvua ambapo husumbuliwa na stress au depression, kitaalam inaitwa Seasonal Affective Disorder.
 
Back
Top Bottom