Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moja kati ya jambo linalo tangaza biashara kama inatoa huduma bora kwa wateja ni namna inavyofanya kazi changamoto zinazokabili wateja wake. Unaweza kufanya yafuatayo:
 
Kila mara jifunze kutoka kwenye kampuni na biashara zilizofanikiwa jinsi zinavyotumia mbinu na mikakati mbalimbali katika kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wateja.
 
Zipo kampuni mbalimbali za kitaifa na kimataifa kama vile Google, Amazon au hata Apple ambazo zimejijengea mfumo madhubuti katika kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wateja.
 
 
Hakikisha unatoa huduma na bidhaa unazotozitangaza na kuzielezea kuwa zipo kwenye biashara yako. Kwa mfano siyo sawa kusema unauza mchele safi lakini ukauza mchele uliojaa chuya au mawe. Au kujinasibisha Kuwa unatoa huduma 10 kumbe zinazopatikana ni mbili tu.
Hili ni sahihi kabisa..
 
Back
Top Bottom