Wasalaam, Wakuu tuliooa mnajua jinsi ilivyo raha ndani ya nyumba ukiwa na mke, mke huleta faraja, mbususu ya kujipimia, compny hasa mkiwa mnaelewana, utani nk ila pia hawa viumbe kuna muda wanakera sana mliooa najua mnalitambua hili. Sasa wife ni mtu mchesh mwenye bashasha pia mashalla kaumbwa...