myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wasafiri Muwe na safari njema.. 🙏 🤲
Safiii sana jirani..
AiseeFaida ya karoti
1. Karoti husaidia kuboresha afya ya macho
Karoti inavirutubisho muhimu kwa afya ya macho, sio tu kuboresha uwezo wa kuona lakini pia kuyalinda macho kutonana na matatizo yanayotokana na uzee. Uwepo wa vitamin A katika karoti husaidia yote haya na kuyafanya macho yako kuwa yenye afya.