Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari katika damu.
Uwepo wa ‘carotenoids’ katika karoti husaidia kudhibiti kiwango cha sukari katika damu. Pia husaidia kusimamia glucose na sukari inayogeuzwa katika damu na kutumiwa na mwili ambapo husaidia mgonjwa mwenye kisukari kuishi maisha ya kawaida.
Kama ulikuwa hufahamu faida za karoti na umuhimu wake katika mwili wako basi anza leo kujumuisha karoti katika mwili wako, mwili haujengwi kwa matofari… bali kwa mlo ulio kamilika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.