Maisha ya mapenzi siku zote huandamwa na vikwazo vya hapa na pale kutoka kwa mpenzi, mme au mke husika ama kutokana na uchonganishi wa watu wake au wako wa karibu! Naomba tuzungumzie, ni kosa gani, ama tabia ipi mkeo, mmeo ama mpenzi wako akiionesha ama kuifanya huwezi kumsamehe! Hivyo unavunja...
www.jamiiforums.com