Anti_inflammatory
Hii ni aina ya kazi inayo fanywa na kabeji katika mwili wa binadamu, husaidia kuzuia vimbe mbalimbali pamoja na kuziba sehemu zilizo wazi, husaidia kupunguza maumivu kwa watu wanao sumbuliwa na vimbe za joints, pamoja na vidonda vya koo,