Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maji husaidia kutengeneza kimiminika kinacho itwa (synovial fluid) ambacho husaidia kuzuia mifupa kusuguana na kusababisha mifupa kuisha katika sehemu za viungio vya mwili.
 
Pia maji aina ya (amniotic fluid) husaidia kwa mama mjamzito mitikisiko mbalimbali isiweze kutokea au kuathiri mtoto aliyeoko tumboni.
Natumai utakuwa umeweza kupata maarifa au uelewa mdogo juu Umuhimu wa maji.
 
Kutokana na changamoto za kimazingira, kiuchumi na kijamii, watu wengi wamejikuta wakikosa furaha. Ni wazi kuwa kukosa furaha kuna madhara makubwa kwenye afya ya mwili, akili na hata katika utendaji wako wa kazi.
 
Watu wengi hutamani kuwa na furaha lakini bado hawapati furaha; wengi hudhani kuwa na vitu kama vile pesa ndiyo chanzo cha furaha, lakini mambo hayawi kama walivyotarajia pindi wapatapo vitu hivyo.
 
Samehe

Watu wengi hukosa furaha kutokana na kubeba uchungu na maumivu yaliyotokana na watu waliowakosea. Ikiwa unataka kuwa na furaha ni muhimu kumsamehe aliyekukosea hata kama hajaomba msamaha.
 
Kumsamehe aliyekukosea kuna manufaa kwako zaidi kuliko kwa yule aliyekukosea. Mara nyingi aliyekosea huendelea na maisha yake ya kawaida huku aliyekosewa akizidi kuumia.
 
Back
Top Bottom