Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sawasawa..INAKIONDOSHA SUMU MWILINI.
Vitamini C na sulfur inayo patikana katika kabeji ina saidia kuondoa sumu mwilini, viambatana SUMU ni kama kama vile free radical na uric acid katika mwili., inayo pelekea uharibifu wa cell katika mwili. Vitamini C na Sulfur husaidia kukinga cell isiharibiwe na viambata sumu kwa kuviondoa nje ya mwili.