Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maisha ni mafupi. Vunja sheria, samehe haraka, busu pole pole, penda sana, cheka bila kudhibitiwa, na usijutie kamwe kile kilichokufanya utabasamu.Mark Twain
 
Wakati ulizaliwa, ulikuwa unalia na kila mtu karibu nawe alikuwa akitabasamu. Ishi maisha yako ili unapokufa, wewe ndiye pekee unatabasamu wakati kila mtu aliye karibu nawe analia.
Hindi alisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…