antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Utajiri wa nje huwa unaanzia ndani, nao ni hekima.
Enock Maregesi
Enock Maregesi
😊Simama nyuma ya maneno uliyoyasema mara mbili: kichwani na mdomoni mwako. Simama nyuma ya maneno uliyoyasema kwa hekima. Usiyumbe hata mambo yatakapokwenda segemnege.
Enock Maregesi