antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
"Ni afadhali kuwa na jeshi la kondoo linaloongozwa na Simba, kuliko jeshi la simba linaloongozwa na kondoo." Napoleon_Bonaparte.
🙏KONGOLE KWENU
😊"Kuliko kuwapa wanasiasa ufunguo wa maisha yako, ni bora ubadili kitasa" Doug Larson
😊"Siasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa na kufufuka mara nyingi kadri iwezekanavyo" Winston Churchil