antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
πKONGOLE KWENU
π"Kuliko kuwapa wanasiasa ufunguo wa maisha yako, ni bora ubadili kitasa" Doug Larson
π"Siasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa na kufufuka mara nyingi kadri iwezekanavyo" Winston Churchil