Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika kuishi kwa kutambua na kuwa makini na ufanyacho itakusaidia sana kuhakikisha unakuwa unautumia muda wako vyema.
 
Kumbuka kuwa, ukitumia muda wako vyema itakusaidia hapo baadaye kuweza kutimiza malengo mengi na kuwa na mafanikio mengi kutokana na kutumia muda wako mwingi kuhakikisha unafanya maendeleo.
 
Tuna muda mchache sana katika maisha, kulinganisha na miaka mingi ambayo mwanadamu anaishi, ni miaka zaidi ya 100.
 
Tumia muda wako sahihi
Muda ukishapita, ni umepita; katika hilo hatuna uwezo wa kurudisha muda nyuma wala kurekebisha matumizi mabaya ya muda. Ni vyema kila wakati tutafakari,
 
Back
Top Bottom