antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Sawasawa!Mambo ya kuzingatia katika hili:
Tumia muda vyema (Epuka vitu vinavyopoteza muda kama vile facebook, Televisheni n.k).
Jifunze kitu kipya kila siku, pia soma vitabu na makala mbalimbali kama hii unayoisoma.
Sogeza hatua moja kila siku kuelekea malengo yako.
Weka akiba.
Linda afya yako (kwa mazoezi, tabia njema na lishe bora).