antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Ndani ya usawa huo, hivi karibuni tumegundua virutubishi na vitu fulani vilivyo kwenye chakula ambavyo hufanya kazi kama kinga na kuboresha afya.
😎Kwa kile tunachojua hadi sasa, ni kuwa ukila nyanya tunda ni bora zaidi ya zile zilizopikwa mchuzi.