Kumbuka kuwa, ukitumia muda wako vyema itakusaidia hapo baadaye kuweza kutimiza malengo mengi na kuwa na mafanikio mengi kutokana na kutumia muda wako mwingi kuhakikisha unafanya maendeleo.
Tumia muda wako sahihi
Muda ukishapita, ni umepita; katika hilo hatuna uwezo wa kurudisha muda nyuma wala kurekebisha matumizi mabaya ya muda. Ni vyema kila wakati tutafakari,