Wanasema kwamba mtu anahitaji vitu vitatu tu ili kuwa na furaha ya kweli katika ulimwengu huu: mtu wa kupenda, kitu cha kufanya, na kitu cha kutumaini. - Tom Bodett
Kwa sababu ya uwingi wa maeneo haya ya kuvutia, sio kazi rahisi kuweza kuyaainisha na kuyaorodhesha, lakini kwa uchache tunakuletea orodha ya maeneo matano ambayo ni ya kuvutia duniani na kuyatembelea ni kuweka historia ya kipekee kwa namna yalivyo na yanavyovutia kwa macho.