Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mifereji ya maji yanayotoka kwenye milima ya Cuillin kuingia kwenye mto Brittle kwa kumiminika kwenye mawe na kutengeneza 'water falls' na vibwawa ambavyo kwa macho vinavutia kuangalia na kupiga picha.
 
Eneo hili la mabwawa ya Fairy lililopo karibu na kijiji cha Carbost lina ukubwa wa kama kilometa 2,4 na inakuchukua dakika mpaka 40 kulitembelea kwa miguu hasa kwenda kwenye eneo lilipo bwawa kubwa na kurudi.
 
Wakati kwa mfano Tanzania, kwa mwaka watu wanaoingia kutalii kwenye vivutio vyake vyote vya utalii kuanzia mlima Kiliamnaro, hifadhi ya Ngorongoro, Serengeti, Mikumi nakadhalika hawafiki milioni 2 kwa mwaka, hifadhi hii ya Grand Canyon pekee hutembelewa na watu milioni 5 kwa mwaka.
 
Ni eneo la kipekee linaloundwa na mawe ya ajabu, kama yametengenezwa kumbe ni ya asili yaliyogunduliwa miaka na miaka.
 
Upande wa Rim Kusini unatumika sana na watu wanaokwenda kwenye hifadhi hii kwa sababu kuna kila kitu pamoja na miundo mbinu muhimu, ingawa wachache wanatumia Kaskazini ambapo uko juu kwa urefu wa futi 1,000, eneo ambalo linavutia zaidi.
 
Back
Top Bottom