antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Kwako pia..Asubuhi njema 🖐️
🖐️Salam kwenu wote
SawasawaWanasema kwamba mtu anahitaji vitu vitatu tu ili kuwa na furaha ya kweli katika ulimwengu huu: mtu wa kupenda, kitu cha kufanya, na kitu cha kutumaini. - Tom Bodett