Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Newcastle itahitaji kulipa pauni milioni 50 ili kumsajili beki wa Manchester City Mholanzi Nathan Ake, 27. (Sun)
 
Crystal Palace wanafikiria kumnunua kiungo wa kati wa Rangers na Nigeria Joe Aribo, 25. (The Athletic)
 
Wolves pia wamehusishwa na mshambuliaji wa Benfica na Uswizi Haris Seferovic baada ya meneja Bruno Lage kupigwa picha akiwa na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30. (Semih Atlilar on Twitter)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…