Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uwezo wa kupiga hatua

Yumkini unatamani kufanikiwa na kila siku unaongelea sana mafanikio, ni vema kujua kwamba mafanikio yetu hayaji kwa kuyatamani au kuyaongelea sana bali katika uwezo binafsi wa kuamua kupiga hatua
 
Yawezekana uko katika chombo kizuri tu cha usafiri lakini utajikuta unapitwa na kila mtu, hata wale wenye vyombo vibovu vya usafiri nao watakupita kama utakuwa umekaa tu kwenye chombo chako pasipo kuruhusu mwendo.
 
Chukua hatua kuelekea mustakabali wako, angalia mbele yako unaona nini? Nini ambacho unakiona kwenye mustakabali wako? Nini ungetamani ukipate kwenye mustakabali wako? Anza kufanya kila kinachohusika ili kuiona hiyo ndoto yako ikiwa dhahiri. Anza kupiga hatua ya kwanza na hatua nyingine zitakuwa rahisi kufuatia.
 
Kamwe usitishike na umbali unaouona kuelekea mustakabali wako, jinsi unavyopiga hatua ujasiri wako unafunguka na kukua, kumbuka kuwa kila hatua unayoipiga hata kama ni ndogo kiasi gani inakusogeza karibu na mustakabali wako.
 
Uwezo wa kujitengenezea sura ya maisha yakoKatika maisha yetu ya kila siku ni ama uamue kuitengeneza sura ya maisha yako au kuibomoa sura hiyo, wengine wetu maisha yetu hayajawahi kuwa na sura nzuri ya kuvutia
 
Sisi wenyewe ndiyo wenye uwezo wak uamua kuitengeneza sura hiyo kuwa vile tunataka iwe, ukiamua kukaa tu pasipo kufanya chochote basi umekusudia kwa dhamira halisi kuiharibu sura ya maisha yako mwenyewe
 
Kama hatutoweza kuyaweza mabadiliko ya karne hii basi mabadiliko hayo yatatuweza sisi.Fahamu dhahiri kwamba karne ya 21 haijaleta tu fursa bali na changamoto tele.
 
Lazima tuwe na ujuzi wa kufanya tabia zetu za kila siku kuendana na mabadiliko haya, lazima kuwa kasi kama vile kasi ya mabadiliko ilivyo, lazima kuwa na uwezo wa kuendana na mazingira kwa sababu ukijaribu kukakamaa na kutokubali mabadiliko katika enzi hizi basi lazima utavunjika
 
Cha msingi wote tujitahidi kufanya hata yale ambayo mara nyingine hayaturidhishi; yale ambayo tunaona yanatugharimu zaidi na kutuminya zaidi,ababu kwa kufanya hivyo unaipoteza nguvu ya kukua.
 
Ngozi zetu zinaundwa na chembe chembe za uhai ziitwazo CELLS, na vitu vingine kama vile matundu ya Jasho, Vinyweleo, mafuta, SELI ZA KUZALISHA MAFUTA, seli mfu na kadhalika.
 
Back
Top Bottom