Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mafuta ya mwili peke yake yanaweza kutosha mahitaji ya ngozi, lakini Kutokana na hali mbaya ya hewa, umri kuongezeka na mabadiliko ya tabia nchi uwezo wake unashindwa kukidhi na kutubidi kupaka mafuta juu ya ngozi zetu ili kusaidia yale yanayozalishwa na mwili. Na hii ndio sababu kwa nini tunapaka mafuta, lotion, cream na kadhalika.

Tunalenga Kulainisha ngozi, kuzuia ngozi kuharibika na kuzeeka, ngozi kunyauka au kusinyaa, kunukia, kuupa mwili joto na kadhalika.
 
BIDHAA FEKI: Namna ya kuepuka bidhaa feki za afya, wellness na vipodozi

Umewahi kutumia bidhaa ambayo umeizoea ila ukaiona kama iko tofauti kidogo?
 
Labda ladha, rangi, harufu, uzito, muonekano, bei, maandishi na kadhalika. Hiyo ndo namna rahisi zaidi ya kuanza kuhisi kama bidhaa uliyonunua au kutumia ina walakini.
 
Sasa ili kuepuka bidhaa feki fanya hivi:
1. Usinunue bidhaa za mkononi au zinazopangwa chini. Zingatia supply chain rasmi ya bidhaa husika kutoka kiwandani hadi kwako mtumiaji
 
Ukiona bidhaa ina tofauti kidogo na ile original uliyoizoea basi iache, inaweza kuwa na walakini. Iwe ni ladha, rangi, harufu, uzito, muonekano, bei, maandishi na kadhalika. Hushangai bidhaa nyingi feki za kichina zinakosewa sana kiingereza chake?
 
Mara nyingi watu husikia mara kwa mara kuhusu maajabu 7 ya Dunia, ila wengi wao hawajui ni yapi. Basi tuwe pamoja katika kuyaelezea tupate kuyafahamu vizuri.. Maajabu hayo ni kama yafuatayo;
 
Back
Top Bottom