Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kumbukumbu zimehifadhiwa kuwa matumizi ya vifaa yalikuwa pamoja na tani 13 za bronzi na tani 8 za chuma zilizofunika nguzo za matofari na mawe zilizokuwa majenzi ya ndani.
 
Mabaki yalikaa palepale kwa sababu watu wa Rhodos waliogopa hasira ya mungu Helios wakisimamisha kitu kilichoangushwa na miungu.
Kwa miaka karibu 900 watalii wa dunia ya kale walishangaa mabaki makubwa.
 
Mwaka 654 Rhodos ilivamiwa na Waarabu Waislamu na Muawiya (wakati ule bado gavana wa Shamu bado khalifa) aliuza metali kwa mfanyabiashara. Inasemekana ya kwamba ngamia 900 walihitajika kubeba mzigo
 
AJABU LA 7: Mnara wa Pharos ya Aleksandria (Misri)

Pharos ya Aleksandria ilikuwa mnara wa taa mjini Aleksandria ya Misri ikahesabiwa kati ya maajabu saba ya dunia
 
Mnara huu ulijengwa kwenye kisiwa kidogo kilichoitwa "Pharos" kiliochokuwa mita chache mbele ya mwambao wa Aleksandria. Baadaye mnara uliitwa kwa jina la kisiwa.
 
Ujenzi ulitokea mnamo mwaka 282 KK. Kwa karne nyingi Pharos ilikuwa kati ya majengo marefu ya dunia. Iliporomoka baada ya matetemeko ya ardhi yaliyotokea Aleksandria 1303 na 1323....
 
Katika nchi ya Italy, Ottorino Barassi anafika ofisini kwake na moja kwa moja anaenda katika 'vaux', yaani chumba au kabati maalumu kunamohifadhiwa vitu nyeti au vyenye thamani. Vaux ni mahali salama ambapo si rahisi kwa mtu yeyote kuingia na kuiba.
 
Kwa umakini na usiri mkubwa, Ottorino Barassi anafika katika 'vaux' na kulichukua. Kisha anaenda nalo nyumbani kwake na kulificha. Yote hiyo ni kwa sababu hakutaka kuona wanajeshi wa nazi wanakuja kulichukua.
 
Ilikuwa ni katika vita ya pili ya dunia, ambapo majeshi ya Nazi, yakiongozwa na Adolf Hitler walikuwa wakilitafuta kwa udi na uvumba ili wapate kulitia mkononi.
 
Unajua ni kitu gani nazungumzia hapo?.

Ni Kombe la dunia. Hitler alitaka kulinyakua kinguvu mnamo 1939, mwaka mmoja baada ya taifa la Italia kushinda michuano ya mpira wa mguu.

Kombe hilo lilikuwa likiitwa Jules Rimet, likipewa jina la aliyekuwa rais wa kwanza wa FIFA. Ottonio Barrasi alikuwa ni rais wa chama cha soka nchini Italy
 
Epuka matumizi ya hovyo ya dawa ukiwa nyumbani pasipo maelekezo ya kina kutoka kwa wataalam wa afya
 
Hakikisha unakuwa na uzito usio pitiliza kwani, uzito mkubwa au unene huweza kuwa mlango wa kukaribisha magonjwa mengi kama presha au shinikizo la damu,kisukari, N.K
 
Back
Top Bottom