ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
👍Chukua hatua kuelekea mustakabali wako, angalia mbele yako unaona nini? Nini ambacho unakiona kwenye mustakabali wako? Nini ungetamani ukipate kwenye mustakabali wako? Anza kufanya kila kinachohusika ili kuiona hiyo ndoto yako ikiwa dhahiri. Anza kupiga hatua ya kwanza na hatua nyingine zitakuwa rahisi kufuatia.
KweliSisi wenyewe ndiyo wenye uwezo wak uamua kuitengeneza sura hiyo kuwa vile tunataka iwe, ukiamua kukaa tu pasipo kufanya chochote basi umekusudia kwa dhamira halisi kuiharibu sura ya maisha yako mwenyewe
🖐️Salam kwenu wote
Who is this?
Sawasawa...AJABU LA 1: Piramidi za Giza (Misri ya Kale)
Piramidi za Giza ni kati ya majengo yanayojulikana zaidi duniani.