andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Hii picha imenikumbusha...
Hii picha imenikumbusha...
Imekukumbusha nini/wapi?[emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hii picha imenikumbusha...
Nipo sis. Kwema huko?Bro you are missed [emoji4][emoji4]
Huku kwema KakaNipo sis. Kwema huko?
Stay blessed sis [emoji1545]
👌Kuoga maji ya baridi mara kwa mara kwa mwanaume husaidia kuboresha uimara wa mbegu. Maji ya baridi husaidia kuongeza kiwango cha homoni ya testestorone ambayo hufanya kazi muhimu kwenye maendeleo ya ukuaji na uimara wa mbegu
Duh..Kwa mujibu ya wataalam wa ngozi, unashauriwa kuoga mara mbili mpaka tatu kwa wiki ili kuifanya ngozi yako iwe imara zaidi, Kuoga mara kwa mara huweza kupelekea matatizo ya ngozi.
Aisee!Watafiti wanafikiria kuorodhesha Uraibu (Addiction) wa Matumizi Ya Intaneti' kama moja ya Magonjwa Ya Akili.
Uraibu wa kucheza Magemu' unatambulika kama moja ya matatizo ya akili mpaka sasa.
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏 🤲
Ni yeye [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
👍Mkumbushe Mwanao kuwa bila Mungu hatofika popote
🤜Mkumbushe Mwanao kuwa akitanguliza kutafuta Umaarufu kabla ya Pesa basi ku-FAKE kutamtesa
BAK pia hajaonekana muda mrefu..Jamani moudgulf wetu kapotelea wapi? Kuna mwenye habari zake? Is he OK? [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2258355
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏 🤲
AmenMungu atupe usiku mwema wenye amani