Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili." Benjamin Franklin
 
"Unajisi wa sheria hutokea pale ambapo mahakmu, hujiweka mikononi mwa watawala na kuamini watawala wana nguvu kuliko sheria" Lamar Smith
 
Ni jambo la hekima kufikiria jinsi tendo moja baya linavyoweza kuongoza kwenye tendo lingine baya na baadaye kwenye kosa zito.
 
Back
Top Bottom