antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
SawaPamoja na kuwa ni tunda lenye ladha tamu na nzuri mdomoni, lakini kisayansi pia limethibitika kusheheni madini na vitamini lukuki, hivyo kuwa na faida nyingi kiafya.
SawasawaMadini haya husaidia uimarishaji wa mishipa ya fahamu.
AmenMungu atupe afya na uzima π
π€Usiku wa kupeana burudani huu