antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Awamu hii ya 6 maisha ni magumu sana.
Nimebahatika kuona awamu zote japo ile ya ya kwanza(mwal nyerere ) niliifahamu mwishoni.Pamoja na uzoefu wangu kwa kuzishuhudia awamu zote lakini hii awamu maisha yamekuwa magumu sana kwa watanzania kuliko nilizozishuhudia. Mfano. Awamu ya tano ilijitahidi sana kupunguza ukali wa maisha kwa...