Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Punguza kiasi cha kunywa pombe kwani unywaji wa pombe kupita kwaida, huathiri pia seli za kichwa na kuathiri uwezo wako wako wa kukumbuka mambo na kuwa makini. Unaweza kutumia red wine unapohitaji kilevi kidogo.
 
Lala masaa ya kutosha. Binadamu anatakiwa kulala masaa 7 mpaka 9 kila siku. Kulala usingizi wa kutosha huufanya ubongo wako kupata muda wa kutosha wa kupumzika na kuongeza uwezo wako wa kukumbuka mambo.
 
Kujipa muda wa kukaa peke yako na kutafakari (Meditation). Kaa peke yako eneo lenye uoto wa asili kama bustanini, mtoni, au ufukweni na kujipa muda wa kutafakari. Hili ni moja ya mazoezi bora zaidi kwa ajili ya afya ya akili yako.
 
.Kama ni mlevi uliyebobea na unahisi huwezikuacha kwa siku moja, anza kwa kupunguza kiwango cha kunywa, yaani kama unakunywa bia tatu kwa siku, anza kunywa moja, baadae moja kwa siku mbili mpaka utakapozoea kuishi bila pombe
 
Ondoa dhamira potofu kwamba huwezi kuishi pasipo kunywa pombe. Kumbuka mwili wako umeumbwa kikamilifu kukabili hali zote za Maisha hivyo usihisi kuwa pombe ndio kichocheo chako kila unapotaka kufanya jambo Fulani
 
Back
Top Bottom