Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pamoja na washambuliaji wenzake Mohamed Salah na Roberto Firmino, ambao wote wana umri wa miaka 30, Mane amekuwa muhimu kwa mafanikio ya Liverpool katika miaka ya hivi karibuni.
 
Manchester City wanajiandaa kupeleka ofa kumsajili mlinzi wa kushoto wa Brighton na Hispania Marc Cucurella, 23. (Guardian)
 
Rais wa Real Madrid Florentino Perez anasema mshambuliaji mpya wa Manchester City Mnorway Erling Haaland, 21, asingeanza katika kikosi cha kwanza kama angehamia kwa wahispania hao. (Mirror)
 
Jifunze kufanya kazi moja kwa wakati mmoja. Kama unajifunza kitu basi jifunze kitu kimoja kwa wakati/siku moja. Hii itaepusha kuchanganya mambo utakapokuwa unakumbuka
 
Tafuna Bazoka (chewing gum) unapofanya kazi inayohitaji kumbukumbu kubwa au unaposoma kitu kipya. Kwa mujibu wa wataalamu wa mambo ya saikolojia, utafunaji wa bazoka hufanya misuli ya kichwa kuwa “active”
 
Kunja ngumi unapojifunza au kukumbuka jambo! Hii inaweza kukuchekesha na ikawa rahisi sana lakini utafiti unaonesha kuwa, watu wanaokunja mmoja wa mikono yao wanapojifunza/kusoma, huwa na kumbukumbu zaidi ya wasiokunja ngumi.
 
Back
Top Bottom