antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
🖐️🖐️Salam kwenu wote..
AmenMungu atupe siku njema
Yap..Msimu wa baradi huu...
Sawasawa..Haipaswi kusahaulika kuwa matumizi ya mara kwa mara ya omega-3, samaki huyu ana na athari yenye faida kwa kukinga magonjwa.
Kweli kabisa..Yap..
Msimu mzuri kwa kilimo cha watoto 😊
Safiii jirani
Safi sana hayo..Matunda haya hupunguza hatari ya magonjwa ya moyo na mishipa, kupunguza oxidation katika mishipa na kuboresha viwango vya cholesterol.