Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ikiwa basi unataka kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa, ni muhimu kuhakikisha unapata muda wa kutosha wa kupumzika
Sawasawa....Mara nyingi mtu anapozidiwa hupunguza zaidi muda wa kupumzika ili akamilishe majukumu yake.