antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Lakini Everton haina hamu ya kumuuza Gordon ambaye kandarasi yake na klabu hiyo ya Goodison Park inakamilika 2025, ikiwa ni Pamoja na kandarasi yoyote itakayomuhusisha Richarlison.. (Liverpool Echo)