myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaUtafiti uliofanyika umebaini kuwa uchovu hasa ule unaoambatana na msongo wa mawazo, unaweza kusababisha kupasuka kwa mishipa inayopeleka damu kwenye ubongo na kisha kusababisha ugonjwa wa kiharusi.
👍Naamini hutopuuzia tena swala la kupumzika kwani umeona jinsi lilivyo na umuhimu mkubwa
AmenMungu atupe afya na uzima🤲🙏
AmenMungu atupe usiku mwema wenye utulivu..