Nottingham Forest wanakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua beki wa kulia wa Liverpool Neco Williams, 21, ambaye thamani yake ni pauni milioni 15, na kiungo wa kati wa Wolves Muingereza Morgan Gibbs-White, huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 akitarajiwa kugharimu pauni milioni 20. (Sun)