Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hivyo ni muhimu kuhakikisha tunapumzika ili akili na fikra zetu zijisafi na kutuepusha na tatizo la msongo wa mawazo.
🤔🙄![]()
Tatizo la Nguruwe kula kuku
Habari ya leo. Nina mradi wa ufugaji nguruwe mix kuku wa kienyeji Kijijini kwetu Songea. Tatizo lililopo ni Nguruwe kukamata na kula kuku wanaoingia bandani kuokota punje za mahindi. Sio chini ya kuku 10 wamefanywa kitoweo. Naomba msaada changamoto hii wafugaji mnatatuaje?www.jamiiforums.com
Salama kabisaKumekucha
AiseeArsenal wamewasilisha ofa ya pauni milioni 35 kwa mlinzi wa Ajax Lisandro Martinez na wanaonekana kuiongoza Manchester United katika kinyang'anyiro cha kumnunua mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina, 24. (Kioo)
SawasawaAngel di Maria, ambaye mkataba wake na Paris St-Germain unamalizika mwishoni mwa Juni, anakaribia kuhamia Juventus, licha ya Barcelona kusalia kwenye picha ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Argentina, 34. (Calciomercato - in Italian)