Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jirani ana majirani wengi huko ughaibuni msipokazana sidhani kama mtampata tena...na wanampenda kweli kweli hao majirani wapya....JIRANI rudi nyumbani utu bless wengine tunataka "kurar(i)a..."View attachment 2276853
Huyu jamaa umeshapata habari zake? Hajambo?
Kuna dogo nilikuwa nimemtafuta hewani leo ila mtandao ikawa ni tabu,wote ni Wanyamwezi wa Tabora na yuko huko kijijini. Nikimpata kesho naombea taarifa iwe njema.Huyu jamaa umeshapata habari zake? Hajambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jirani ana majirani wengi huko ughaibuni msipokazana sidhani kama mtampata tena...na wanampenda kweli kweli hao majirani wapya....
Kuliko kioze ni afadhali jirani apewe! [emoji16][emoji16][emoji16]
Tuombe ziwe njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kuna dogo nilikuwa nimemtafuta hewani leo ila mtandao ikawa ni tabu,wote ni Wanyamwezi wa Tabora na yuko huko kijijini. Nikimpata kesho naombea taarifa iwe njema.
Amen [emoji120][emoji120]Tuombe ziwe njema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Habari mkuu...hapa nyumbani kabisa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napambana kumrudisha nyumbani.
JIRANI popote ulipo (selfika) rudi nyumbani tafadhali
😄😄😄Jirani ana majirani wengi huko ughaibuni msipokazana sidhani kama mtampata tena...na wanampenda kweli kweli hao majirani wapya....
Kuliko kioze ni afadhali jirani apewe! [emoji16][emoji16][emoji16]