Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Husaidia kurekebisha presha ikae sawa
👍Huwezi kufahamu kesho utamkuta wapi yule uliyemfundisha na atakusaidia kwa njia gani. Hivyo kufundisha wengine hujenga kumbukumbu nzuri na ya kipekee.
SawasawaFaida za kiafya za kuvutia za vitunguu maji ni pamoja na uwezo wake wa kuzuia na kupoza dalili za ugonjwa wa kansa, matatizo ya moyo, na ugonjwa wa kisukari.
AiseeVitunguu vina matumizi mengi yenye thamani kama tiba kwa sababu ya virutubisho, vitamini, madini, na kampaundi za asili zilizomo, zikiwemo kampaundi za sulfuric na quercetin pia.
SawasawaMara nyingi vitunguu vimekuwa vikitumika kuzuia jino kuharibika na maambukizi ya kinywa.