Pili wakati wa kufundisha utajifunza mambo mbalimbali kutoka kwa yule unayemfundisha au wale unaowafundisha kwani nao kuna mambo wanayoyafahamu tofauti na wewe
Hukufundisha kupanga na kuandaa
Ili uweze kufundisha vyema ni lazima upangilie na kuandaa kile utakachofundisha. Kwa njia hii utajifunza kupanga na kuandalia somo au mada yako kabla ya kuiwasilisha.
Huboresha uwezo wako wa mawasiliano
Utahitaji kuwasiliana na wale unaowafundisha ili wapate kile unacholenga kuwafundisha. Kwa njia hii utaboresha uwezo wako wa kuwasiliana.
Hii ni kutokana na Saponinzinazopatikana ndani yake. Hizi saponins ni vizuizi vya hali zitokeazo ghafla bila taarifa, ambazo zinahakikisha kutokuendelea kwa matatizo ya tumbo na kwamba tumbo lako lipo shwari na kufanya kazi zake bila shida.
Hebu fikiri unamfundisha mtu jinsi ya kujikinga au kutibu maradhi fulani, akifanyia kazi maarifa hayo na kuona matokeo tayari utakuwa umetatua tatizo lake.
Kutokana na Peace Health, kwa muda mrefu tu vitunguu vimekuwa vikitumika kwa kupunguza hatari ya baadhi ya magonjwa kama tumor, kifua kisichokoma, na homa.
Kwa mfano pia unaweza kumfundisha mtu jinsi ya kujikwamua kiuchumi na akatoka kwenye matatizo ya kifedha; kwa njia hii utakuwa umefanya jambo kubwa kuliko hata kumpa pesa.
Watafiti wa madawa asili wanahesabu kitunguu kama ni tiba kamili ya nyumbani kwa kutuliza matatizo kadhaa ya mwili na magonjwa. Zaidi Peace Health imeeleza kwamba ulaji wa kitunguu unaweza hata kusaidia kuzuia Kansa ya tumbo na matiti.
Hukutengenezea kumbukumbu muhimu
Ni vigumu sana kwa mwanafunzi kumsahau yule aliyemfundisha. Hili hujenga mahusiano na kumbukumbu nzuri kati yako na yule uliyemfundisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.