antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Vitunguu hufanya kazi ya kuzuia damu kuganda, pia hujulikana kama vilainisha damu, ambavyo huzuia chembe hai nyekundu za damu kujirundika sehemu moja kuwa nzito.
😊Kwahiyo, chakula chochote chenye utajiri wa viondosha sumu, ambavyo vinaua nguvu ya sumu huru (free radicals), ni faida kwa kila mmoja.