Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukila mchanganyiko wa juisi ya kitunguu na asali katika kipimo kilicho sawa inaweza kupunguza maumivu ya koo na dalili za kifua
 
Kijiko kimoja cha mezani cha juisi ya kitunguu ikiambatana na kijiko kimoja kilichojaa majimaji ya tangawizi, vikimezwa mara tatu kwa siku, inaweza kuamsha hamu ya kujamiiana.
 
Hata matatizo ya anemia yanaweza kupunguzwa kwa ulaji wa vitunguu sambamba na Jaggery ( imetokana na miwa pamoja na tende) na maji kwasababu huongeza kiasi cha madini kwenye mwili, hasa madini joto (iron), ambayo ni sehemu muhimu katika uzalishaji wa seli hai nyekundu za damu.
 
Back
Top Bottom