myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wasafiri muwe na safari njema..
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏
😂😂😂Mkuu antimatter nasubiri elimu yako niendelee kunufaika View attachment 2276849
Mkuu,Kuna dogo nilikuwa nimemtafuta hewani leo ila mtandao ikawa ni tabu,wote ni Wanyamwezi wa Tabora na yuko huko kijijini. Nikimpata kesho naombea taarifa iwe njema.
🖐️Salam kwenu wote
AmenMungu atupe siku njema 🤲
...bila kusahau mkwanja 😊Mungu atupe afya na uzima 🙏
🤜Iwe siku yenye amani na utulivu 🙏
👍Kila mtu ana umuhimu wake..